NAFASI ZA KAZI SELCOM TANZANIA 2026
Business Development Officer
Kampuni ya Selcom Tanzania imetangaza nafasi mpya za kazi kwa nafasi ya Business Development Officer. Hii ni fursa nzuri kwa watu wenye uzoefu kwenye mauzo, marketing pamoja na huduma za kifedha na teknolojia.
Waombaji wenye uwezo mzuri wa mawasiliano, kushawishi wateja na kufanya kazi kwenye mazingira ya ushindani wanahimizwa kutuma maombi mapema.
Sifa Muhimu
- Uelewa wa Mobile Money na Merchant Acquiring.
- Uwezo mzuri wa mawasiliano na mauzo.
- Kuwa mbunifu na mwenye uwezo wa kutatua changamoto.
- Kujua matumizi ya mifumo ya kidigitali.
- Angalau mwaka 1 wa uzoefu kwenye Sales au Marketing.
- Uzoefu Banking, Fintech, Telecom au FMCG utaongeza nafasi.
Maeneo ya Kazi
Dar es Salaam, Zanzibar, Mwanza, Moshi na Mbeya.
Deadline
Mwisho wa kutuma maombi ni 17 May 2026.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma CV yako pamoja na barua ya maombi kupitia email ifuatayo:
careers@selcom.net
Subject ya email iwe: Business Development Officer Application
© 2026 | Ajira Portal Tanzania
