NAFASI 100 ZA MADEREVA WA MALORI – SIMBA LOGISTICS LTD
Kampuni ya Simba Logistics Ltd pamoja na Simba Supply Chain Solutions Ltd (SSCS) imetangaza rasmi nafasi mpya 100 za kazi kwa madereva wa malori kutokana na upanuzi wa shughuli zake ndani na nje ya Tanzania.
📌 Nafasi: Madereva wa Malori (Heavy Duty Truck Drivers)
📌 Idadi ya Nafasi: 100
📌 Kampuni: Simba Logistics Ltd & SSCS
📌 Deadline: 15 Mei 2026
📌 Idadi ya Nafasi: 100
📌 Kampuni: Simba Logistics Ltd & SSCS
📌 Deadline: 15 Mei 2026
Sifa Muhimu za Mwombaji
- Awe na leseni halali ya udereva daraja E.
- Awe na cheti halali cha HGV/HDT.
- Awe na Passport halali ya kusafiria.
- Awe amesajiliwa LATRA na kuwa na cheti chake.
- Uzoefu wa kuendesha malori makubwa usiopungua miaka 5.
Majukumu ya Kazi
- Kuendesha malori kwa usalama na umakini mkubwa.
- Kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi.
- Kuhakikisha usalama wa gari na mizigo wakati wote.
- Kufuata sheria zote za usalama barabarani.
Kwa Nini Uombe Kazi Hii?
- Mshahara mzuri na marupurupu.
- Fursa ya kufanya kazi kwenye kampuni kubwa ya logistics.
- Mazingira mazuri ya kazi.
- Ukuaji wa taaluma na uzoefu wa kimataifa.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wote wenye sifa wanashauriwa kutuma maombi yao mapema kabla ya tarehe ya mwisho ya maombi.
📧 Email: recruitment@sscs.co.tz
📞 Simu: +255 679 622 022
