Nafasi 60 za kujitolea


 

HESLB Call for Volunteers 2026

HESLB Yatangaza Nafasi za Kujitolea 2026 (Call for Volunteers)

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa tangazo rasmi la nafasi za kujitolea kwa wahitimu wa Kitanzania wenye sifa na ari ya kujifunza na kuchangia katika maendeleo ya taifa.

Lengo kuu: Kuwapa wahitimu uzoefu wa kazi (practical skills) huku wakichangia katika huduma za umma.

Maeneo Yenye Nafasi

  • Legal Services – 1 nafasi
  • Planning and Research – 2 nafasi
  • Loans Allocation and Disbursement – 3 nafasi
  • Procurement and Supply Management – 1 nafasi
  • Loan Repayment and Recovery – 20 nafasi
  • Information, Education and Communication – 3 nafasi
  • Accounts and Finance – 2 nafasi
  • Administration – 1 nafasi
  • Records Management – 30 nafasi
  • Electrical Installation – 1 nafasi
  • Plumbing and Pipe-fitting – 1 nafasi

Sifa Muhimu za Waombaji

  • Shahada (Bachelor Degree) inayohusiana na nafasi husika
  • Uwezo mzuri wa mawasiliano
  • Ujuzi wa kutumia kompyuta

Masharti Muhimu

  • Waombaji waambatanishe nakala za vyeti halali
  • Waambatanishe barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji
  • Waeleze sababu ya kuomba kujitolea
  • Maombi yawe yameandikwa kwa mkono (handwritten) kwa Kiingereza
  • Hakuna mshahara — utapewa posho ya usafiri na chakula

Jinsi ya Kutuma Maombi

Waombaji wanapaswa kuwasilisha:

  • Barua ya maombi (signed application letter)
  • CV (Curriculum Vitae)
  • Nakala za vyeti na transcripts
  • Nakala ya NIDA au kitambulisho cha taifa

Maombi yote yatumwe kwa:

Executive Director
Higher Education Students’ Loans Board (HESLB)
P.O. Box 984,
Dodoma

Tarehe ya Mwisho

Maombi yote yawasilishwe kabla ya 15 Mei 2026
Previous Post Next Post