TANGAZO LA KUITWA KAZINI

 


Tangazo la Kuitwa Kazini Mei 2026

TANGAZO LA KUITWA KAZINI – MEI 2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ametangaza rasmi majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi katika kada mbalimbali serikalini.

Usaili ulifanyika kati ya tarehe 15 Desemba 2025 hadi 14 Februari 2026, na sasa matokeo rasmi yametolewa.

MUHIMU KUJUA

  • Majina yaliyoorodheshwa ni ya waliofaulu usaili.
  • Baadhi ya waliopo kwenye kanzidata (Database) pia wamepangiwa kazi.
  • Wasioona majina yao wanapaswa kuendelea kuomba nafasi nyingine zijazo.

JINSI YA KUPATA BARUA YA AJIRA

Waombaji wote waliofaulu wanapaswa:

  • Kuingia kwenye akaunti zao za Ajira Portal
  • Kufungua sehemu ya “My Applications”
  • Kupakua (Download) barua ya kupangiwa kazi
  • Kuchapisha (Print) barua hiyo

MASHARTI YA KURIPOTI KAZINI

Wote walioitwa wanatakiwa:

  • Kuripoti kwa wakati uliotajwa kwenye barua zao
  • Kuwasilisha vyeti halisi (Original Certificates)
  • Vyeti vinavyohitajika ni kuanzia kidato cha nne na kuendelea
  • Vyeti vitahakikiwa kabla ya kupewa ajira rasmi

BAADHI YA KADA ZILIZOJUMUISHWA

  • Mhasibu Daraja la II
  • Mkaguzi wa Ndani Daraja la II
  • Msaidizi wa Afya Daraja la I
  • Msaidizi wa Hesabu Daraja la II
  • Walimu wa Shule za Msingi

Vituo vya kazi vinahusisha hasa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo pamoja na shule mbalimbali za msingi.

ORODHA KAMILI YA MAJINA

Ili kuona majina yote ya walioitwa kazini pamoja na vituo vyao vya kazi, tafadhali pakua tangazo kamili hapa chini:

PAKUA HAPA PDF
Previous Post Next Post