Fursa za Ajira Tanzania
Imechapishwa Mei 2026 – Uandishi wa Kitaalamu
Mhasibu & Huduma kwa Wateja
Eneo: Tabata
Mshahara: 500,000 TZS kwa mwezi
Muda wa Kazi: Saa 7 asubuhi – Saa 3 usiku, siku 6 kwa wiki
Vigezo:
- Uzoefu wa cashier na huduma kwa wateja
- Ujuzi wa THL Accounting
- Hisabati na kompyuta za msingi
- Uaminifu na uwajibikaji
Wasiliana: +255796000296 | +44778837887
Mpishi wa Kitaalamu
Eneo: Masaki
Mshahara: 500,000 TZS kwa mwezi
Hali: Kuishi kwa mwajiri
Vigezo:
- Ujuzi wa mapishi kitaalamu
- Usafi na nidhamu
- Uaminifu
- Kujiongoza na kujiongeza
Wasiliana: +255796000296 | +44778837887
Dada wa Malezi (Nanny)
Eneo: Dar es Salaam
Mshahara: 500,000 TZS kwa mwezi
Hali: Kuishi kwa mwajiri
Vigezo:
- Uzoefu wa malezi ya watoto
- Elimu ya malezi ya watoto
- Uwezo wa kuzungumza Kiingereza
- Usafi na uaminifu
Wasiliana: +255796000296 | +44778837887
Nesi wa Nyumbani (Homecare Nurse)
Eneo: Morogoro
Mshahara: 500,000 TZS kwa mwezi
Hali: Kuishi kwa mwajiri
Majukumu:
- Uzoefu wa kitaalamu wa uuguzi
- Kumfanyisha mgonjwa mazoezi
- Kupima presha
- Leseni halali ya uuguzi
- Kushauri na kuandaa chakula cha mgonjwa
Wasiliana: +255796000296 | +44778837887
Dada wa Usafi (Cleaner)
Eneo: Salasala
Mshahara: 400,000 TZS kwa mwezi
Hali: Kwenda na kurudi
Vigezo:
- Uzoefu wa usafi kitaalamu
- Uwezo wa kuzungumza Kiingereza
- Usafi na nidhamu
- Uaminifu
Wasiliana: +255796000296 | +44778837887
