👑 AJIRA 60 NBC BANK
Direct Sales Agents – Mbezi Beach Chini Branch
Deadline: 08 June 2026
📢 Utangulizi wa Nafasi
NBC Bank imetangaza nafasi mpya 60 za kazi kwa vijana wenye nguvu, uwezo wa mauzo na mawasiliano mazuri kufanya kazi kama Direct Sales Agents katika tawi la Mbezi Beach Chini.
Hii ni fursa nzuri kwa wahitimu wa Form Four, Diploma au Degree wanaotafuta nafasi ya kuingia kwenye sekta ya benki na mauzo.
🏦 Taarifa Muhimu za Ajira
- Waajiri: NBC Bank
- Nafasi: Direct Sales Agents
- Idadi ya Nafasi: 60
- Tawi: Mbezi Beach Chini Branch
- Mkataba: Mwaka 1
- Mwisho wa Kutuma Maombi: 08 June 2026
📌 Majukumu ya Kazi
- Kutafuta wateja wapya wa bidhaa za benki
- Kufanya sales activations na kampeni mbalimbali
- Kufuatilia leads na kuzigeuza kuwa mauzo
- Kusajili wateja kidigitali kupitia mifumo ya NBC
- Kufungua account za wateja kwa kufuata taratibu
- Kuzingatia sheria za KYC, AML na usalama wa kazi
- Kufanya majukumu mengine utakayopewa na meneja
🎓 Sifa za Mwombaji
- Awe na elimu ya Form Four, Diploma au Degree
- Awe na umri wa miaka 18 au zaidi
- Awe na uelewa wa bidhaa za kibenki
- Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano
- Awe mchapakazi na mwenye kujisimamia
- Awe na uwezo wa kufuatilia kazi na matokeo
📂 Nyaraka Zinazohitajika
- Nakala ya vyeti vya masomo
- Nakala ya NIDA
- TIN Number
- Barua ya Serikali/Mtaa
- CV (Curriculum Vitae)
📨 Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma maombi yako pamoja na nyaraka zote kupitia WhatsApp kwa namba ifuatayo:
📞 0766598444
APPLY NOW VIA WHATSAPPUnaweza pia kufika moja kwa moja NBC Mbezi Beach Chini Branch kwa maelezo zaidi.
⚠️ TAHADHARI: Nafasi hizi ni BURE kabisa. Usitoe fedha yoyote wakati wa kutuma maombi au usaili.
⏰ Deadline ya Maombi
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 08 June 2026. Tuma maombi yako mapema kabla nafasi hazijajaa.
