NAFASI 309 ZA AJIRA ZATANGAZWA SERIKALINI – MEI 2026
Waombaji wa kazi nchini Tanzania wamepata fursa mpya baada ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) kutangaza jumla ya nafasi 309 za kazi katika taasisi mbalimbali za Serikali kwa mwezi Mei 2026.
Taasisi zilizotangaza nafasi hizo ni pamoja na:
- Mzumbe University (MU)
- Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology (MNUAT)
- Moshi Co-operative University (MoCU)
- Ardhi University (ARU)
- National Arts Council (NAC)
- e-Government Authority (eGA)
- Tanzania Government Flight Agency (TGFA)
- Tanzania Railways Corporation (TRC)
MUHTASARI WA NAFASI ZILIZOTANGAZWA
Mzumbe University (MU)
- ICT Officer II (Audio Visual) – 2
- Receptionist II – 3
- Transcriber II – 1
- Assistant Environment Health Officer II – 1
- ICT Officer II (Instructional Designer) – 2
Mwalimu Nyerere University of Agriculture and Technology (MNUAT)
- Health Laboratory Assistant II – 1
- Office Management Secretary II – 3
- Driver II – 6
- Field Technician II (Horticulture) – 1
- Laboratory Technician II (Veterinary Laboratory) – 1
- Artisan II (Carpentry) – 2
Moshi Co-operative University (MoCU)
- Office Management Secretary II – 4
- Receptionist II – 2
Ardhi University (ARU)
- Driver II – 3
- Office Management Secretary II – 3
- Survey Technician II – 2
National Arts Council (NAC)
- Arts Officer II (Theatre Arts/Performance) – 5
- Arts Officer II (Music) – 3
e-Government Authority (eGA)
- ICT Officer II (Application Programmer) – 2
- ICT Officer Grade II (Network Management) – 2
- ICT Officer Grade II (Database Administration) – 1
- ICT Officer Grade II (Business Analyst) – 1
- ICT Officer Grade II (Standards and Compliance) – 1
- ICT Officer Grade II (Helpdesk) – 1
- ICT Officer Grade II (Project Management) – 2
Tanzania Government Flight Agency (TGFA)
- Aircraft Maintenance Engineer II – 1
- Driver II – 2
- Pilot II – 4
Tanzania Railways Corporation (TRC)
- Engineer II (Electro-Mechanical) – 2
- Civil Technician II (Rail Track Technology) – 5
- Technician II (Electro-Mechanical) – 6
- Technician II (Carriage and Wagon Examiner) – 6
- Signal & Telecommunication Technician II – 5
- Artisan II (Electrical) – 60
- Artisan II – Signal and Telecomm – 30
- Artisan II – Civil (Railway Track) – 44
- Mechanical Artisan II (Carriage and Wagon Examiner) – 20
- Artisan II – Mechanical (Diesel-Mechanical Locomotive) – 10
- Plant Operator II – 2
- Receptionist II – 3
- Office Management Secretary II – 1
- Instructor II – Telecommunication – 1
- Instructor II – Electrical – 1
- Yard Master II – 3
- Station Master II – 18
- Driver II – 6
- Locomotive Driver II – 10
- Assistant Commercial Officer II (Travel and Ticket Examiner) – 5
- Assistant Commercial Officer II (Customer Services) – 2
- Artisan II – Mechanical (Diesel-Electric Locomotives) – 7
MASHARTI MUHIMU YA WAOMBAJI
- Waombaji lazima wawe raia wa Tanzania.
- Umri usizidi miaka 45.
- Ambatisha vyeti vya taaluma, transcript na cheti cha kuzaliwa.
- Waombaji waajiriwa wa Serikali hawaruhusiwi kuomba.
- Passport size ya hivi karibuni inahitajika.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI
Deadline: 01 Juni 2026
JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal wa Serikali.
